photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BALOTELLI ATEGEMEA KUPATA MTOTO NA MPENZI WAKE WA ZAMANI!

BALOTELLI ATEGEMEA KUPATA MTOTO NA MPENZI WAKE WA ZAMANI!

Posted on Jul 3, 2012 | No Comments

Raffaella Fico mrembo mwanamitindo wa Italia mwenye umri wa miaka 24, anategemea kupata mtoto na Mchezaji wa Timu ya taifa ya italia na Manchester city Mario Balotelli “super Mario”, Raffaella ametoa taarifa kuwa amegundua ni mja mzito mwezi wa tano mara baada ya penzi la wawili hao kuvunjika mara baada ya kumtuhumu balotelli kuwa na wapenzi wengi. Raffaella aliwahi na mahusiano na Mchezaji Cristiano Ronaldo
Raffaella amewaambia waandishi wa habari kuwa Mario amekuwa excited na habari za kuwa baba na inawezekana wakabatana for the sake of their child



Toa Maoni Yako Kwa Uhuru