CHAMA CHA WANANCHI (CUF) CHAITAKA SERIKALI KUTOA MAFUNZO YA KISASA KWA VYOMBO VYA UOKOAJI.
Posted on
Jul 23, 2012
|
No Comments

Mwenyekiti wa TAIFA wa Chama Cha Wananchi –CUF Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza kwa niaba ya chama hicho ambapo pamoja na mengine amesema nchi yetu ina mapungufu makubwa sana katika kitengo cha uokoaji, kwa kuwa kitengo hicho hakina zana na vyombo vya kisasa vinavyokwenda na wakati.