Dj, ManGi1; TRACK YA BREEZY ALIYOMDISS DRAKE
Posted on
Jul 1, 2012
|
1 Comment
Wakiwa wamepewa dau la $1 milli kila mmoja ili wapande stage kuzichapa live, Chris Brown na Drake wameendelea kutupiana mbovu kiasi ambacho kinazidi kuchochea zaidi beef lao.
Inaonekana ugomvi huu usiishe soon baada ya Chris Brown kumdiss Drake kwenye ngoma ya The Game iitwayo I don’t Like.
Kuna sehemu anasema “Wanarusha chupa, narusha mamodel sababu nampa Malaya pipe ndefu. Ntakuwa naimba, atakuwa anaimba, kwahiyo ni pambano, lakini subiri, simwoneshi mchizi taa ya kijani.”



Blog lookin good and hot yo chali's keep it up..
ReplyDelete