Hii ni kazi nzuri inayofanywa na upinzani nchini KENYA, ni wazi sasa nchi hii inakimbia sana katika nyanja ya maendeleo hasa ya barabara na bandari,vipi sisi WATANZANIA tumefikia wapi na miradi yetu ya magari yaendayo kasi?vipi kuhusu mji wetu wa kigaboni ?mbona hatuwasikii tena viongozi wetu wakiupigia chapuo au ndio hivyo tena? KWA KWELI NDUGU ZANGU WA TANZANIA TUBADILIKE?.tutaendetea kupiga maktaim mpaka lini?inauma sana kwa nchi ambayo haina rasilimali kama za kwetu kupiga hatua kubwa hivi,na sisi tunaojinasibu kuwa na rasilimali nyingi ardhi kubwa tukiachwa palepale huku tukidanganywa na maneno mengi hatamu yasiyo na maana.huu ni ujinga ulio pitiliza ni wazi sasahivi maendeleo yamefrizz hakuna kipya kinacho endelea zaidi ya propaganda na utani kwenye maisha ya WATANZANIA.nchi imestak inahitaji watu wa kuirifresh ili tuendelee.maendeleo hayaji kwa kuking'ang'ania chama kimoja kwa kisingizio cha amani ni wakati sasa wa kusonga mbele na kuachana na fikra mgando. HUU NI UJENZI UNAOENDELEA UKO THIKA KENYA |