KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA..
Posted on
Jul 4, 2012
|
No Comments
BANDA LA VETA NDANI YA SABASABA..
![]() |
| Hili ndilo banda la VETA la maonyesho ya bishara ya kimataifa saba saba liloko katika viwanja vya mwalimu JK Nyerere. Dar es Salaam, |
![]() | ||||||
Baadhi ya wananchi wakiangalia pampu katika banda la VETA kwenye maonesho ya sabasaba pampu hiyo iliyotengenezwa kwa chuma na inamfumo wa kuvuta maji yenye dawa ambayo yanarahisisha katika kuogesha wanyama.SALAMA JAY, MADAM RITA NA MASTER JAY WATEMBELEA BANDA LA ZANTEL SABASABA
|




