photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA..

KUTOKA VIWANJA VYA SABASABA..

Posted on Jul 5, 2012 | No Comments

TWIGA BANCORP NA UTOAJI KAMILI WA HUDUMA ZA KIBENKI SABASABA.


 Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp ambao wapo kwaajili ya kutoa huduma katika banda la Benki hiyo viwanbja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu Saba Saba wakilamba picha ya pamoja mbele ya Banda lao linalotoa huduma kamili za Kibenki
 Afisa Masoko wa Twiga Bancorp Limited, Adelbert Archerd Tibikunda akiwa amekamatia tuzo ya Century International Gold Quality ERA waliyo ipata Genever kwa huduma bora .
 Katika Banda la Twiga Bancorp wateja wanapata fursa ya kuweka fedha zao papo hapo baada ya kufanya mauzo ndani ya Saba Saba. Yanini utembee na fedha nyingi wakati Benki ya twiga ipo nawe pale ulipo.
 Fedha katika ATM ni kwa saa 24, siku 7 za  wiki, mwezi mzima na siku 360. Huduma hii katika banda la Twiga hafungwi mwaka mzima..

BANDA LA MeTL LATIA FORA MAONYESHO YA SABASABA KWA BIDHAA BORA NA ZA KISASA.

 Mafuta aina ya ‘Safi’ yanayopatikana katika banda la hilo kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Maji safi ya kunywa aina ya ‘Maisha’ ambayo pia yapatikana kwa bei rahisi katika banda la MeTL kwenye maonyesho ya Sabasaba.
 Vitengee, Khanga venye ubora navyo vinapatikana.
 
 Muonekano wa banda la MeTL kwa nje ukionyesha wateja kadhaa wakitoka baada ya kujipatia mahitaji yao.
 
 Mmoja wa wafanyakazi katika banda la kampuni ya Mohammed Enterprses Tanzania Limited (MeTL) akionyesha unga wa ‘Safi’ unaotengenezwa na kampuni hiyo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru