photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> KUTOKA VYUONI..

KUTOKA VYUONI..

Posted on Jul 2, 2012 | No Comments

Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Vyuoni) wapinga mgomo wa madaktari

Kundi la wanaharakati kutoka elimu ya juu nchini, wakiwa na mabango jana katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam, kushinikiza madaktari waache mgomo
Kiongozi wa wanaharakati kutoka elimu ya juu Abubakari Assenga (kushoto), akiwa na Katibu wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Edwin Chitange, baada ya maandamano ya wanaharakati hao kufika Muhimbili kushinikiza madaktari kusitisha mgomo

Kiongozi wa wanaharakati kutoka elimu ya Juu, Abubakar Assenga akizungumza na waandishi wa habari baada ya maandamano yao kufika Muhimbili kushinikiza madaktari kuacha mgomo.

Mwanamke aliyekuwa akisubiri kuona mgonjwa wake, Katika hospitali ya Muhimbuli, Dar es Salaam, Helen Thomas, akisoma bango lililoachwa na wanaharakati hao wa elimu ya juu.
Wanaharakati wa elimu ya juu, wakihanikiza baada ya kufika Muhimbili kutaka madaktari waache mgomo

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru