photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:TAARIFA KWA MADAKTARI WALIOPO KWENYE MAFUNZO YA VITENDO (INTERNS)

KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:TAARIFA KWA MADAKTARI WALIOPO KWENYE MAFUNZO YA VITENDO (INTERNS)

Posted on Jul 3, 2012 | No Comments

  WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO (INTERNS),  WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA  KWA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII, WANATAKIWA KURIPOTI MAKAO MAKUU YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII IFIKAPO SIKU YA IJUMAA TAREHE 6 JULAI, 2012.

IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
3/07/2012

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru