photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RUGWE WACHOMA OFISI NA KUFUNGA BARABARA KWA KUTOKUONA FAIDA YAKE.

RUGWE WACHOMA OFISI NA KUFUNGA BARABARA KWA KUTOKUONA FAIDA YAKE.

Posted on Jul 2, 2012 | No Comments

Wakazi wa Ndaga wilayani Rugwe wamefunga barabara ya Mbeya-Rungwe na geti la ushuru wa mazao kwa saa nne, na kuchoma ofisi husika kwa madai hawaioni faida ya kuwepo geti hilo kwani limejaa rushwa tupu na unyanyasaji wa Wakulima.
Picture
Picture
Picture
Picture


Toa Maoni Yako Kwa Uhuru