photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> MECHI YA WABUNGE:SIMBA WAIKANDAMIZA YANGA KWA PENALTI 3-2

MECHI YA WABUNGE:SIMBA WAIKANDAMIZA YANGA KWA PENALTI 3-2

Posted on Jul 7, 2012 | No Comments


Yanga wakijichua kwa ajili ya mtanange na watani wao wa jadi Simba.
Mechi ya watani wa jadi inakaribia kuanza muda huu. Timu zote mbili zimejiandaa vyema na kila moja imeahidi kuwashushia kichapo wenzao katika mtanange huu.Benchi la wabunge wa Yanga.
Wachezaji wa Yanga na Simba (Wabunge) wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya mechi kuanza.

 Makala na Mpira ....
 Nasari na mpira...
 Malima anakwenda....
Zitto anakokota ngoma ...

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru