photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> MUSTAFA SABODO AICHANGIA CHADEMA SHILINGI MIL 10.

MUSTAFA SABODO AICHANGIA CHADEMA SHILINGI MIL 10.

Posted on Jul 6, 2012 | No Comments

Mfanyabiashara maarufu na Kada wa CCM, Mzee Mustafa Jaffer Sabodo akikabidhi hundi ya Sh10m kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa nyumbani kwa Upanga, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa CHADEMA, Antony Komu. Fedha hizo ilikuwa sehemu ya mchango mwingine wa Mzee Sabodo pamoja na ahadi kwa ajili ya kusaidia shughuli za chama hicho kuendelea kufanya kazi zake za kuimarisha na kueneza mtandao wake, ngazi za mitaa na vitongoji nchi nzima.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru