photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > NDOA NDOANO; HII NI KWA WANAUME WOTE MALIMBUKENI WA MAPENZI...

NDOA NDOANO; HII NI KWA WANAUME WOTE MALIMBUKENI WA MAPENZI...

Posted on Jul 31, 2012 | 1 Comment

Mapenzi sio Shape...Kuna Wanawake wana Shape
kuu
bwaaaaaaa lakini wana akili ndogo kama
punje ya hindi,ukimuweka ndani huyu ni hasara!
Kuna Wanawake hawana Shape lakini kichwani
wako very smart na wana all qualities za kuwa
mke na mama bora...Sasa wewe komaa kutafuta mikusanyiko ya nyama za nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha nyumba.
Nyumba haiendeshwi kwa Shape ya
Kalio,inaendeshwa kwa akili.Na ujue mama ndio
kiongozi wa Familia,inapaswa awe na akili na awe
msaada kwako kama mume ili mfanikiwe.Taifa imara hujengwa na Familia imara na
bora..Uchaguzi ni wako,na ukumbuke,Kalio huwa
na tabia ya kuyumbayumba ukitembea,na hivyo
ndivyo hata Familia yenu itakavyo-yumbayumba
kila siku kwa sababu itakuwa inaendeshwa kwa
kalio na sio akili!

Comments:1

  1. seee ni noma balaa yaani 4sure ckuwahi hata cku moja kufikiri kuwa makario uyumbisha nyumba......duuh nyie noma

    ReplyDelete