photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
  • Home
  • Buy / Sell
  • Jobs
  • Entertainment
  • Contact Us
> NDOANDOANO > NDOA NDOANO; UJIO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN NA UTITIRI WA NDOA
  • « Nyuma
  • | Mbele »

NDOA NDOANO; UJIO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN NA UTITIRI WA NDOA

Posted on Jul 15, 2012 | No Comments

Heshima kwenu wadau,

mwezi huu hauishi,waislam tutakuwa tunaingia kwenye mwezi mtukufu wa ramadhan,mwezi ambao waumini wa kiislam hupaswa kujizuilia kula na kunywa vilivyo halali kwa muda wa saa 12 kwa siku,pia hata wale walio kwenye ndoa hawaruhusiwi kufanya tendo la ndoa katika mchana wa ramadhan(namaanisha tangu asbuhi hadi wakati wa magharibi). Kwa sasa maeneo mengi hapa Dar es Salaam(na nchini kwa ujumla).

watu wapo kwenye maandalizi ya mfungo,ila wengi wao maandaliz yao makubwa yamejikiata kwenye harakat za kufunga ndoa ili mwezi wa ramadhan uwakute wakiwa wanandoa,wapo ambao kwa kipindi ya miezi yoote ya nyuma wameishi kwa kibanaibana(yaani mtu na kimada wake)ila kwa kua mwezi unakuja wameamua kufanya maamuzi magumu(kuoana),ili mume apate mke halali wa kumpikia UJI,FUTARI NA DAKU, Idadi ya ndoa na kasi ya ufungishaji wa ndoa inazidi kuongezeka mwezi huu ambao kiarabu ni mwezi shabani,na leo nadhan ni tar 23,shaban.

Sasa najiuliza wanaofunga ndoa kipindi hiki,wao wanaoa kwa kuskumwa na mapenzi au wanaoa kwa ajili ya kukidhi matamanio yao au wanaoana kwa ajili tu ya mwezi huu wa ramadhan,???

Mjadala huu unaweza kuchangiwa na mtu yeyote,uwe umeoa au hujaoa,umeolewa au hujaolewa,muislam na asiye muislam,

KARIBUNI SANA HUKU TUKIENDELEA KUMFIKIRIA KOVA NA STORI ZAKE ZA BUNILIZI
WABILLAH TAWFIQ

Email This BlogThis! Share to X Share to Facebook
Habari Zilizo Mpya »
« Habari Zilizopita

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru

Recent Hits

Charls Sons Construction Ltd.

Charls Sons Construction Ltd.

French Collections

French Collections

This could be your advert.

Photobucket

Total Pageviews

Chart / Comments

Popular Posts

Categories

  • BURUDANI ( 16 )
  • BUSINESS ( 3 )
  • Buy / Sell ( 44 )
  • CHEKECHA ( 129 )
  • Dj.ManGi1 ( 74 )
  • Entertainment ( 205 )
  • Experience Tanzania ( 64 )
  • FRENCH COLLECTION ( 92 )
  • HOT LOOKS ( 14 )
  • INTERNATIONAL NEWS ( 295 )
  • INTERNATIONAL NEWS ( 2 )
  • Jobs ( 145 )
  • KIBONZO CHA SIKU ( 185 )
  • KUTOKA VYUONI ( 19 )
  • LIVE ON TV. ( 55 )
  • LOCAL NEWS ( 865 )
  • MAKALA ( 94 )
  • NDOANDOANO ( 171 )
  • PICTURE OF THE WEEK ( 23 )
  • POLITICS ( 129 )
  • SPORTS ( 255 )
  • TECHNOLOGY ( 1 )
  • UNAKUMBUKA ( 25 )
  • WAMETOKELEZEA ( 42 )
TOP

Copyright 2012 © RChugga Blog. All Rights Reserved. | Modified by MKCT