Dah kila siku nimekuwa nikijiuliza hv ni kwa nini wanawake huvaa shanga na zina umuhimu gani au zinasaidia nini?but sipati jibu.......wana MMU ningependa nijuzwe why wanavaa hizi shanga.ur comments please especially kutoka kwa wanawake