photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA BURUNDI MJINI BUJUMBURA

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA BURUNDI MJINI BUJUMBURA

Posted on Jul 3, 2012 | No Comments

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na viongozi wengi ne waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi mjini Bujumbura leo asubuhi.kutoka kishoto ni Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Teodoro Nguema wa Equatorial Guinea,Mwenyeji Rais Pierre nkurunzinza wa Burundi na mkewe na, Rais Mwai  Kibaki wa Kenya. picha na freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakifurahia jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Burundi yaliyofanyika mjini  Bujumbura leo asubuhi.Kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru