photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAHUDHURIA MIAKA 50 YA UHURU WA RWANDA.

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA WAHUDHURIA MIAKA 50 YA UHURU WA RWANDA.

Posted on Jul 1, 2012 | No Comments

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakikagua gwaride la  heshima katika uwanja wa ndege wa Kigali.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakipokea haeshima za marais muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Rwanda leo asubuhi.
Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete katika uwanja wa michezo wa Amahoro mjini Kigali Rwanda kwaajili ya sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Rwanda.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Rwanda zilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Amahoro jijini Kigali leo asubuhi(picha na Freddy Maro).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru