photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS WA ZANZIBAR DK ALI SHEIN ZIARANI NCHINI UINGEREZA.

RAIS WA ZANZIBAR DK ALI SHEIN ZIARANI NCHINI UINGEREZA.

Posted on Jul 2, 2012 | No Comments

 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi wengine akatika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum,katika safari hiyo Dk. Shein amefuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru