photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > SHINDANO LA SERENGETI DANCE LA FIESTA 2012 LAFANYIKA JIJINI ARUSHA JANA, KUNDI LA CONTAGIOUS CREW LAJINYAKULIA KITITA CHA TSH. 1,000,000/=

SHINDANO LA SERENGETI DANCE LA FIESTA 2012 LAFANYIKA JIJINI ARUSHA JANA, KUNDI LA CONTAGIOUS CREW LAJINYAKULIA KITITA CHA TSH. 1,000,000/=

Posted on Jul 1, 2012 | No Comments

Mmoja wa majaji wa shindano la Serengeti Dance la Fiesta 2012 lililofanyika kwenye Club Mawigu Jana jioni katika Jiji la Arusha. Pichani B Dozen aka Hamis Mandi kutoka Clouds Fm kipindi cha XXL akikabidhi zawadi ya Shs. Million 1 kwa Contagious Crew 

Makundi mawili yaliyoingia fainal.
Majaji wa shindano hilo kutoka kulia Msami kutoka THT, B dozen na Issa kwisa.
Baadhi ya Majonjo ya madancer hao..
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika show hiyo..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru