photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HISPANIA YAICHACHAFYA ITALIA, YATWAA KOMBE LA EURO 2012

HISPANIA YAICHACHAFYA ITALIA, YATWAA KOMBE LA EURO 2012

Posted on Jul 1, 2012 | No Comments

Nahodha wa Hispania, Iker Casillas akiwa ameinua kombe la Euro 2012 wakati akishangilia na wachezaji wenzake baada ya kutwaa kombe hilo kwa kuwafunga Italia bao 4-0 kwenye fainali iliyopigwa katika uwanja wa Olympic mjini Kiev, Ukraine leo. (Picha kwa hisani ya Getty Images)

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru