photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > TASWIRA YA MGOMO WA WALIMU MIKOANI..

TASWIRA YA MGOMO WA WALIMU MIKOANI..

Posted on Jul 31, 2012 | No Comments

Shule ya Msingi Gongoni mkoani Tabora yenye walimu 30 ambapo kutokana na mgomo wa walimu ni walimu watatu tu wameripoti kazini leo. Picha Na Mashashi Edwin wa HakiElimu
Moja ya darasa la Msingi katika shule ya msingi Isike- Tabora likiwa tupu baada ya wanafunzi wote kuruhusiwa kwenda nyumbani kutokana na mgomo wa walimu ambao umeanza leo.
Mgomo wa walimu nchini ulioanza leo nchini kote umewaacha wanafunzi hawa wa darasa la tano katika shule ya msingi Gongoni wakiwa darasani pasipo kufundishwa kama walivyokutwa na Afisa program wetu leo asubuhi

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru