photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> UCHAFU KATIKA BAADHI YA VIUNGA VYA JIJI LA ARUSHA

UCHAFU KATIKA BAADHI YA VIUNGA VYA JIJI LA ARUSHA

Posted on Jul 4, 2012 | No Comments

Sehemu ya wafanyabiashara almaarufu machinga wakiwa wamepanga bidhaa zao mbele ya maduka jijini Arusha, kama iliovyokuwa mtaa wa Kongo jijini Dar na halmashauri kulifumbia macho  suala la uchafu kwa visingizio vya kuwaogopa na kushindwa kutekeleza sheria hali inayofanya msongamano katika barabara kadhaa za jiji hili na mabaraza ya maduka ya wafanyabiashara  wameilalamikia halmashauri hiyo kwa kukaa kimya bila ya majibu yakinifu
Mama huyu akiwa mapanga bidhaa zake chini hali inayohatarisha mazingira ya walaji  kuwa hatarini na halmashauri ya jiji la Arusha kulifumbia macho kama alivyokutwa na kamera yetu jijini Arusha jana malalamiko ya jiji kuendelea kuwa chafu yamekuwa yakipuuziwa na viongozi wa halmashauri hiyo kwa visingizio vya kuwa bize na ripoti ya mkaguzi wa serekali CAG bila kulitelekeza jiji katika hali hii.
Hali mifereji katika kituo kikuu cha mabasi kama inavyoonekana ni hali ya uchafu machupa ya mikojo kila mahali vijana wanavuta bangi hadharani bila ya kuchuliwa hatua zinazostahiki huku askari waliopewa dhamana ya ulinzi wakivifumbia macho vitendo hivyo.
 

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru