photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WEMA VS JACK HAKUNA MBABE

WEMA VS JACK HAKUNA MBABE

Posted on Jul 7, 2012 | No Comments

Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpanzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana
Mabondia ambano ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jacklen Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa Tamasha la Matumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa taifa
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droO!
Baada ya pambano walionyesha upendo kimichezo tunasema fair play..

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru