GHARIB BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA 16 KIMATAIFA WA NCHI ZISIZOFUNGAMA NA UPANDE WOWOTE.
Posted on
Aug 30, 2012
|
No Comments

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mku wa Itifaki wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Abad Mobin, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani. mkutano huo umefunguliwa leo mjini Teheran Iran.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano mkuu wa 16 wa kimataifa wa wakuu wa nchi na serikali usiofungamana na upande wowote Duniani, mkutano huo umeanza leo mjini Teheran Iran.
