photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HAWA NDIO WANAFUNZI 10 MWAKA WA 5 UDAKTARI (MEDICINE) MUHIMBILI UNIVERSITY WALIOKUWA DISCONTINUED

HAWA NDIO WANAFUNZI 10 MWAKA WA 5 UDAKTARI (MEDICINE) MUHIMBILI UNIVERSITY WALIOKUWA DISCONTINUED

Posted on Aug 30, 2012 | 3 Comments


Wakuu, kuna wanafunzi 10 waliomaliza mwaka wa 5 fani ya medicine (udaktari), wamekuwa discontinued kutokana na tangazo la dean school of Medicine Prof. Karim Manji, source ya kudiscontinue ni kutokusubmit elective report (hii ni research inayofanywa mwaka wa nne). Wanafunzi hao ambao wamemaliza ratiba zao za masomo na ilibidi wa graduate mwaka huu.
Name
sex
Reg no
MIHAYO, Gloria
F
2007-04-00434
ABED, Charles
M
2007-04-00319
SAID, Mbaraka
M
2007-04-00403
MAHUNDI, Salvatory
M
2007-04-00493
NYERERE, Semeni
M
2007-04-00517
RAMADHANI, Said
M
2007-04-00531
MAGESA, Jaralya
M
2007-04-00540
SAID Kizunzi
M
2007-04-00548
SALIM, Mohammed S.A
M
2007-04-00553
MY TAKE: 1: Activist, toeni solution ya jambo hili, inawezekana vipi mtu aliyesoma miaka mitano aje adisco kirahisi kiasi hichi
2: Prof karim manji, ni mtu hatari sana Muhimbili, ameshinikiza maamuzi haya, naomba journalist wafanye utafiti wa jambo hili
3: Wana JamiiPress naombeni tutoe way foward juu ya jambo hili, hasa ni kwa jisni gani linaweza kuwa solved,
4: watu wa Usalama wa taifa fanyeni uchunguzi juu ya jambo hili, hii ni hatari kwa haki wa watanzania wanafunzi walioamua kusoma fani hii ya udaktari kwa miaka mitano then wanadisco kirahisi hivi

Comments: 3

  1. KABLA YA KUANZA KUSHANGAA WANAFUNZI MWAKA 5 KUDISCO, JIULIZE MASWALI HAYA

    -Je kuna historia yoyote huko nyuma ya wanafunzi wa mwaka wa 5 kudisco?sababu?
    - Je record za academic perfomance na nidhamu kwa miaka iliyopita za wanafunzi hao zikoje?
    - Kuna mgogoro wowote uliowahi kutokea baina ya wanafunzi hao na utawala wa chuo au mkuu wa chuo?

    ReplyDelete
  2. Huo ni upande mmoja lakini Prospectus ya MUHAS inasemaje juu ya majukumu ya Mwanafunzi awapo chuoni? Prof. Karim hata kama angekuwa mrefu kama mnazi hawezi kushinikiza kitu ambacho hakijaandikwa. Nadhani kuna taarifa ambayo hapa hatuna ili kubalance story, ushauri wowote utakaotolewa kwa sasa utakuwa wa kishabiki tu.

    ReplyDelete
  3. Wewe uliyepost hizi habari inabidi uwaombe radhi wahusika kwa kosa la kuwachafuli watu majina yao haraka. Au unaweza kulipa faini kwa kupotosha umma wa watanzania

    ReplyDelete