HII NDIO LIST YA WANASIASA MARUFU ZAIDI KATIKA MITANDAO YA JAMII TANZANIA..
Posted on
Aug 29, 2012
|
No Comments
Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.
Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV.
Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo...
1. January Makamba
2. Zitto Zuberi Kabwe
3. Mohamed Dewji
4. Nape Mnauye
5. Jakaya Kikwete
6. Halima Mdee
7. John Mnyika
8. Ridhiwan Kikwete
9. Shyrose Bhanji
10. Joshua Nasari.
Swali ni jee wote wanastahili hizo nafasi walizopangwa?. Kina nani walistahili na wameachwa?. Jee kina nani hawakustahili nafasi walizoshika au hata kuingizwa huku hawakistahili?.