photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > KAULI YA WAZIRI WA MALAWI KUHUSU MGOGORO WA ZIWA NYASA, HII HAPA...

KAULI YA WAZIRI WA MALAWI KUHUSU MGOGORO WA ZIWA NYASA, HII HAPA...

Posted on Aug 11, 2012 | No Comments


Waziri wa mambo ya ndani na usalama wa Malawi, Uladi Musa

Serikali ya Malawi imepuuza tishio la Tanzania kuhusu mzozo wa mpaka kwenye ziwa Nyasa na kusisitiza kwamba ziwa lote ni la Malawi hivyo utafiti wa Mafuta utaendelea.

Waziri wa mambo ya ndani na usalama wa Malawi Uladi Musa amekaririwa akiongea na radio moja na kusema watanzania hawana mamlaka ya kuzuia utafiti wa mafuta uliokua ukifanywa kwenye ziwa hilo, na kama shinikizo litaendelea watawasilisha hiyo ishu kwenye mahakama ya kimataifa

W
aziri huyo amesema serikali ya Malawi ina ushahidi kabisa kuthibitisha kwamba ziwa nyasa ni lao na kuna mikataba inayoonyesha, hivyo hoja ya Tanzania haina mantiki.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru