KWANINI WAJUMBE WA NYUMBA 10 WASINGETUMIKA KATIKA SENSA
Posted on
Aug 27, 2012
|
No Comments
Nahisi ni ubadhilifu 2 wa fedha za umma.
Kwanini hawa wajumbe wa nyumba 10 kushirikiana na serikali za mitaa kufanya kazi ya sensa kwa kuwa wako karibu zaidi na wananchi wa mtaa wao zaidi kuliko kupoteza mamilioni ya kodi.