PICHA ZA AJALI MKOANI MOROGORO..
Posted on
Aug 10, 2012
|
2
Comments
Askari wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Morogoro akipokea maelezo kutoka kwa abiria wawili akiwemo mwanajeshi waliokuwa ndani ya basi hilo la Allys lenye namba za usajiri T692 BKV ambalo lilikuwa likitokea jijini Dar es salaama kwenda jijini Mwanza
Afande wa kike anayefanya doria kwa kutumia pikipiki akiwasaidia watoto wawili kwenye gari ya polisi na kuwapekea kwa mama yao ambaye inadaiwa kuwa amejeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospital ya mkoa wa Morogoro.
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka [kushoto] ambaye ajari hiyo imetokea kwenye Wilaya yake akifarijiwa eneo la tukio na Meya wa halmashuri ya Manispaa ya Morogoro Amir Juma Nondo [kulia]
Abiria huyu Tatu Anthony akiangua kilio baada ya kunusurika kwenye ajari hiyo ambayo hakuna mtu aliyepoteza maisha
Abiria huyo akiwa na watoto wake wawili ambao wote walinusurika kwenye ajali hiyo
Mama huyu alinaswa na mtandao huu akitoa mizigo yake kupita kwenye tundo la kuingiza hewa ambalo hukaa juu ya basi
MMOJA wa abiri waliokuwa kwenye gari la Allys akimnyonyesha mtoto wake mchnga muda mfupi baada ya kuchomoka kwenye basi hilo
Basi na Sumry lennye namba za usajiri T 777 BWL ambalo pia lilikuwa likitokea Dar kuelekea Mwanza nalo lilipofika eneo hilo hilo liangua huku sababu ikielezwa kuwa hiyo hiyo ya barabara kuteleza
Gari ya wagonjwa la jeshi la polisi mkoa wa morogoro lilifanya kazi kuwakimbiza majeruhi hao hospital ya mkoa wa Morogoro..
Na Morogoro Yetu
In this type of loan, the loan score and credit report with the guarantor or co-signer is basically important because interest rate and
ReplyDeleteapproval depends about the report paydayuk that
shouldn't stop borrowers considering them, says adviser drew wotherspoon of john charcol.
My website > paydayuk
Thank You and that i have a nifty offer: Who To Contact For House Renovation home kitchen renovation
ReplyDelete