PICHA ZA UZINDUZI WA WA TAWI JIPYA LA CCM WASHINGTON DC
Posted on
Aug 29, 2012
|
No Comments
Wadau wa CCM nchini marekani wakipeperusha bendera
Mh. Abdulahaman Kinana akiongea baada ya kukaribishwa na Mwenyekiti wa tawi la CCM, DC Loveness.
Mh. Abdulahaman Kinana akipongezwa na wanaccm nchini marekani muda mfupi baada ya kuzindua tawi la CCM Washington Dc
Picha ya pamoja ya viongozi wote wa matawi mengine ya CCM kutoka sehemu tofauti za nje ya DC kama Minnesota kiongozi wake alikuwepo, North Carolina, New York na Taxas.
Picha juu na chini Wana CCM mbalimbali nchini marekani wakiwa kwenye picha ya pamoja muda mfupi baada ya uzinduzi wa tawi jipya la CCM Washington Dc