photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA PAMOJA NA MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA NA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI

RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA PAMOJA NA MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA NA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI

Posted on Aug 9, 2012 | No Comments

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha Mtendaji mkuu wa Mahakama pamoja na Msajili mkuu wa Mahakama na msajili wa mahakama ya rufani katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam.Walioapishwa leo ni Mtendaji mkuu wa Mahakama Bwana Hussein Katanga,Msajili Mkuu wa Mahakama Bwana Ignus Paul Kitusi na Msajili wa Mahakama ya Rufani Bwana Panterine Muliisa Kente.Pichani Mtendaji mkuu wa Mahakama Bwana Hussein Katanga akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(kushoto) pamoja na maofa waandamizi wa mahakama aliowaapisha leo asubuhi ikulu jijini Dar es Salaam.(Wapili kushoto) ni Mtendaji mkuu wa Mahakama  Bwana Hussein Katanga,(Wanne kushoto) ni Msajili Mkuu wa Mahakama Bwana Ignus Paul Kitusi na kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufani Bwana Panterine Muliisa Kente.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru