photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RIHANNA ALIA KWENYE MAHOJIANO NA OPRAH KISA CHRIS BROWN!. ANGALIA...

RIHANNA ALIA KWENYE MAHOJIANO NA OPRAH KISA CHRIS BROWN!. ANGALIA...

Posted on Aug 11, 2012 | No Comments


Oprah Winfrey anasifika kwa kuuliza maswali mazito na ya ndani. Wiki hii amefanya mahojiano na Rihanna aliyemfuata kwao Barbados.
Katika kipande kidogo cha  mahojiano hayo yatakayoruka August 19 kupitia kituo cha OWN,  Oprah alimuuliza kuhusiana na Chris Brown na jinsi alivyompiga, Rihanna aliyekuwa akitokwa na machozi alijibu “It was embarrassing. It was humiliating. I lost my best friend.”
Angalia kipande hicho kidogo.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru