TAKE OFF BY GNAKO FT AY..
Posted on
Aug 10, 2012
|
No Comments
June 1 2012 hii ndio ilikua kauli ya G NAKO kuhusu his new single, “hii ngoma nimefanya na Ay na jamaa mmoja yuko California Marekani anaitwa Antonio, niliunganishwa nae na mshkaji wangu anaitwa Dash wanasoma pamoja na wote ni maproducer na Antoni ni msanii pia, tarehe 20 june ndio anatua bongo”
