UNAMTOKEAJE MVULANA ULIMPENDA?.
Posted on
Aug 10, 2012
|
1 Comment
Habari za jioni wana jamvi. kwanza natanguliza samahan kama kutakua na watu nitakao wakwaza. msichana kama amempenda mvulana ruhsa kutiririka, hebu tiririkeni njia (mitego)mtakazo tumia, angalizo mpo mikoa tofauti. na je wavulana (wanaume) mnapenda mtokewe na mwanamke kwa jinsi gani?
awe straight na kitu alichonacho moyoni sio kukausha or kuzunguka sana
ReplyDelete