photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > WAZIRI MKUU WA ZIMBABWE AWASILI NCHINI.

WAZIRI MKUU WA ZIMBABWE AWASILI NCHINI.

Posted on Aug 8, 2012 | No Comments

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  Mhe. Bernard K. Membe (MB), (pichani kulia) akimpokea Waziri Mkuu wa Zimbabwe  Mhe. Morgan Richard Tsvangirai, aliyewasili Agosti 8 kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.  Mhe. Waziri Mkuu Tsvangirai atakuwa nchini kwa ziara ya kikazi na anatarajiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru