photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > HII NDIO IDADI KAMILI YA WANAJESHI WA MAREKANI WALIOUWAWA AFGHANISTAN MPAKA SASA.

HII NDIO IDADI KAMILI YA WANAJESHI WA MAREKANI WALIOUWAWA AFGHANISTAN MPAKA SASA.

Posted on Sep 30, 2012 | No Comments

Marekani imethibitisha kwamba wanajeshi wake elfu mbili (2000) wameuwawa toka vita ya Afghanistan ianze ambapo idadi hiyo imeongezeka kwenye miezi ya karibuni katika mashambulio kadhaa.
Ni vifo ambavyo vimeleta maswali kwamba kuna uwezekano Marekani ikaisaidia Afghanistan kuondokana na tatizo?
Mara ya mwisho kwa wanajeshi wa Marekani kushambuliwa nchini Afghanistan ilikua jana september 29 ambapo mwanajeshi mmoja aliuwawa.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru