photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > IDADI NA AINA YA MAGARI YALIYOUZWA KWA UINGEREZA 2011.

IDADI NA AINA YA MAGARI YALIYOUZWA KWA UINGEREZA 2011.

Posted on Sep 14, 2012 | No Comments

Na millard Ayo.
Pamoja na kwamba Nissan ndio wameongoza kwa kuuza magari mengi kwa Waingereza, kampuni hiyo ya magari imekiri kwamba kuna magari yake elfu saba (7,000) aina ya Qashqai yana ubovu kwenye uskanio hivyo wameomba wateja wote waliyoyanunua wayarudishe yakatengenezwe bila kulipia gharama zozote.
Kampuni ambayo inayatengeneza iko Sunderland ambapo magari mengine elfu 51 aina ya Nissan ambayo yaliuzwa nje ya Uingereza pia yanatakiwa kufanyiwa marekebisho hayo.
Magari yote yenye hiyo kasoro ni yale yaliyotengenezwa kati ya February 27 and May 16 mwaka huu ambapo kampuni ya Ford nayo ilitangaza taarifa kama hizo ambazo zinahitaji magari yake elfu 45 kurudi kufanyiwa marekebisho.
.
.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru