JENGO LA NSSF MOSHI.
Posted on
Sep 30, 2012
|
No Comments
Habari wakuu leo nina tafakari kidogo nimeambiwa jengo
linalojengwa opposite na manispaa ya moshi ni la nssf na linaenda ghorofa kumi
na ni commercial complex,nimeliona lakini najiuliza litalipa na kama litalipa
kwa kiasi gani? Kama majengo tu ya kawaida ni vigumu kufanya renovation je
litalipa kiasi cha kumudu periodic maintenance au its just a waste of
money, embu kama kuna mwenye any economic survey au business plan ya jinsi
itakavyolipa maana i dont see any business worthy that investment,but i stand
to be corrected and educated.
Tafakari...
