photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

Posted on Sep 7, 2012 | No Comments

Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazish
Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange   akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru