photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > MSAADA; JE MIMBA HII INAWEZA KUWA YANGU?..

MSAADA; JE MIMBA HII INAWEZA KUWA YANGU?..

Posted on Sep 5, 2012 | 1 Comment


Nina girlfriend wangu,aliniambia anakaribia kubleed na dalili za kubleed amezisikia yaani kama siku mbili zijazo atableed. Tukaduu bila kinga,sasa ananiambia ana mimba, je inawezekana kweli mimba ikawa yangu?. Kwani navyo elewa akikaribia kubleed yai linakuwa limeharibika.Je ni yangu au nimeibiwa hapa?

Comments:1