>
LOCAL NEWS
>
PROFESA MUHONGO AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI TPDC
PROFESA MUHONGO AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI TPDC
Posted on
Sep 16, 2012
|
Waziri wa nishati na madini Mhe Profesa Sospeter Muhongo akiongea wakati wa uzinduzi wa bodi ya wakurugenzi ya shirika la maendeleo ya petroli Tanzania (TPDC)uzinduzi huo ulifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam jijini Dar es salaam jana.
Baadhi ya wajumbe wa bodi na wakurugenzi wakiwa katika mkutano huo leo.
Waziri wa nishati na madini Mhe Profesa Sospeter Muhongo akiwa kwenye picha ya pamoja na bodi ya wakurugenzi mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi huo