photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI JOACHIM CHISSANO NA KATIBU MKUU WA SADC DR.THOMAS SALOMAO.

RAIS DKT.JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI JOACHIM CHISSANO NA KATIBU MKUU WA SADC DR.THOMAS SALOMAO.

Posted on Sep 17, 2012 | No Comments

Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano (wapili kushoto) pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Dr. Thomas  Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (picha na Freddy Maro).

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru