SALIM SAID BAKHRESA AMETAJWA NA JARIDA LA FORBES KUWA MIONGONI MWA MATAJIRI KUMI BARANI AFRIKA
Posted on
Sep 16, 2012
|
No Comments

Utajiri wa Mtanzania huyu watikisa mabilionea Afrika
MFANYABIASHARA maarufu Tanzania, Salim Said Bakhresa ametajwa na Jarida la Forbes kuwa ni miongoni mwa matajiri kumi wenye utajiri mkubwa barani Afrika. Jarida hilo la kimataifa limetoa orodha ya mabilionea 40 kutoka Bara la Afrika mwaka huu na kuwataja wafanyabiashara 10, wanaoweza kuingia katika orodha hiyo ya mabilionea wakati wowote, akiwamo Bakhresa.