photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > ANGALIA VIDEO YA STELLA MWANGI- STELLA STELLA STELLA (OFFICIAL VIDEO)

ANGALIA VIDEO YA STELLA MWANGI- STELLA STELLA STELLA (OFFICIAL VIDEO)

Posted on Sep 13, 2012 | No Comments

Stella Mwangi (STL)

"Stella Stella Stella boom boom pow", ndio maneno yanayosikika kwa kujirudia katika chorus ya wimbo unaoitwa STELLA STELLA STELLA wa Rapper, muimbaji na muandishi wa kike kutoka Kenya Stella Nyambura Mwangi au stage name STL.

Ame release video yake mpya ya wimbo huo ambayo imefanyika nchini Kenya. STL kwa sasa makazi yake ni nchini Norway ambako yeye pamoja na familia yake walihamia toka mwaka 1991. Itazame video hiyo hapo chini.

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru