TANZANIA NA UHOLANZI ZASAINI MKATABA WA SHILINGI BILIONI 33 WA KUSAMBAZA UMEME.
Posted on
Sep 14, 2012
|
No Comments

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akimsindikiza Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) jijini Dar es salaam mara baada ya kumalizi kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambzaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.