WAISLAM WAANDAMANA KUSHINIKIZA KUACHILIWA HURU WENZAO WALIOKAMWATWA KWA KUGOMEA SENSA.
Posted on
Sep 7, 2012
|
No Comments

Umati wa Waislamu ukiwa umekusanyika nje ya Wizara ya Mambo ya Ndani kushinikiwa wenzao waliokamatwa baada ya kugomea zoezi la Sensa.Picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya Black Berry. Habari na picha zaidi zitawajia hapo baadae.