photo NAAZ_zpsd0bbd510copy_zps37715af5.jpg
 photo NAAZ_zpsd0bbd510.jpg
Nafasi Ya Matangazo
> > BREAKING NEWS; RPC MWANZA LIBERATUS BARLOW AUAWA

BREAKING NEWS; RPC MWANZA LIBERATUS BARLOW AUAWA

Posted on Oct 12, 2012 | No Comments

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Barlow ameuawa usiku wa kuamkia leo katika tukio linalohusishwa na ujambazi.
Taarifa kutoka Mwanza ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili.
Hata hivyo, taarifa hizo bado hazijaweza kuchunguzwa na vyombo vya habari.

Marehemu Kamanda Barlow

Taarifa zaidi tutawapatia…

Toa Maoni Yako Kwa Uhuru