JENGO LA TANESCO NA FLYOVERS, WHICH ONE`S MORE IMPORTANT?.
Posted on
Oct 14, 2012
|
No Comments
WAJEMENI,
hivi kuvunja lile jengo la Tanesco pale ubungo tukajenga flyovers ya uhakika
itakayorahisisha barabara zote nne zinazokutana pale ubungo mataa, na kubaki na
jengo lile bila flyovers na kukiwa na foleni ya ajabu vilevile, kipi chenye
maana zaidi kwa nchi yetu? kipi kinaleta hasara zaidi kuliko kingine? je?,
kubaki na lile jengo lakini watu wanachelewa maofisini kutoka mbezi,kimara etc
na mabasi au magari yanayoelekea mkoani etc watu wanafika maofisini kwa
kuchelewa hivyo wamepunguza mda wa kufanya kazi na kuendeleza nchi...kipi
chenya faida kuliko kingine?...si nasikia magufuli alikataliwa hoja yake ya
kubomoa lile jengo ili zijengwe flyover pale?..kwani lile jengo lina garama
gani ambayo tunailinda ambayo hatutakuwa tumecompensate indirectly tukijenga
flyover pale?
