RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI.
Posted on
Oct 19, 2012
|
No Comments

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilal jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi
waliojitokeza kumpokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini
Oman.

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamanda wa Polisi wa Kanda
Maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi
ya siku nne nchini Oman.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili
kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini. (Picha na IKULU).