SOPHIA SIMBA NA ASHA BAKARI KHAMIS WAIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA UWT
Posted on
Oct 21, 2012
|
No Comments
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa UWT wakishangilia bbaada ya kutangazwa jina
la Mwenyekiti mpya wa Umoja huo Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Asha
Bakari katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma usiku wa kuakia leo
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein, akitoa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UWT
uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma na kumchangua
Mwenyekiti Mpya Sophia Simba
MWENYEKITI wa UWT Mhe. Sophia Simba na Makamu wake Mwenyekiti Mhe.Asha
Bakari Khamis, wakiwa na furaha baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi
mkuu wa umoja huo uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha mpiango dodoma
VIONGOZI wa meza kuu wakishangilia baada ya kuitolewa matokeo ya kura
za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UWT, baada ya uchaguzi kufanyika
kuwachagua Viongozi hao.
Mwenyekiti mpya wa UWT Sophia Simba akipongezwa na mke wa Rais wa
Zanzibar mama Mwanamwema Shein baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi
wa UWT usiku wa kuamkia leo
