ZANZIBAR BADO HAKIELEWEKI VURUGU ZAZUKA TENA DARAJANI NA MLANDEGE NA KUSABABISHA BARABARA KUFUNGWA.
Posted on
Oct 18, 2012
|
No Comments

Vurugu
zimezuka tena viziwani Zanzibar katika Maeneo ya Darajani na Mlandege
kufuatia madai kuwa kiongozi wa kundi la kiislam la uamshio Sheikh Farid
kutojulikana alipo.